Wanakimanumanu waanza kujipata | Mwanaspoti
KOCHA wa African Sports ‘Wanakimanumanu’, Kessy Abdallah amesema angalau kwa sasa timu hiyo inaendelea kuimarika tofauti na mwanzoni na sababu kuu ni mbili, kuchezea nyumbani na wachezaji kufuata maelekezo yake kwa ufasaha. Timu hiyo imeshinda michezo miwili mfululizo kwa mara ya kwanza msimu huu, tangu mara ya mwisho ilipochapwa mabao 2-0 na Transit Camp Januari…