KAMPUNI YA FIT GROUP KUTOKA NIGERIA KUWEKEZA NCHINI
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umepokea wawekezaji kutoka Kampuni ya FIT Group kutoka nchini Nigeria. Ujio wao ni wa mara ya pili ambapo wawekezaji hao wamekuja kuona maeneo ya uwekezaji yanayomilikiwa na TBA kwa ajili ya kuyaendeleza kwa njia ya ubia. Ziara yao nchini imeambatana na kufanyika kwa kikao kati yao na TBA pamoja na…