Huyu ndiye Sam Nujoma, Rais aliyeokolewa na maofisa wa Tanu
Leo Jumapili Februari 9, 2025 Namibia, Afrika na dunia kwa ujumla imeamka na taarifa mbaya ya kifo cha mwanamema na mwanamajumui mashuhuli wa Afrika, Sam Nujoma. Nujoma alipigania uhuru wa Namibia na kufanikiwa kumuondoa mkoloni madarani na kuwa Rais wa kwanza na baba wa Taifa wa Taifa hilo mwaka 1990 hadi 2005. Jina lake kamili…