
Nyuma ya pazia shule 11 kuboronga kidato cha nne
Dar es Salaam. Januari 23, 2024, Baraza la Mitinani la Tanzania (Necta) lilitangaza matokeo ya kidato cha nne yaliyoonyesha shule 110 zilifaulu kwa kupata umahiri wa daraja A. Kati ya shule 5,563 zilizoorodheshwa, zaidi ya nusu (asilimia 55) zilikuwa na umahiri wa daraja D. Hata hivyo, idadi hiyo ni ndogo ikilinganishwa na asilimia 62 za…