
Watu 35,000 wang’atwa na mbwa 2024, wizara yahaha kusaka chanjo
Dar es Salaam. Wakati watu 900 wanafariki dunia kila mwaka kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa nchini, takwimu zimeonyesha kwa mwaka 2024, takribani watu 35,000 waling’atwa na mbwa huku Wizara ya Afya ikiendelea utafuta chanzo hadi kufikia mwakani. Takwimu hizo zimetolewa leo Alhamisi, Februari 6, 2025 na Mkurugenzi wa huduma za afya ustawi wa jamii…