Kilichomponza Diarra kufungwa bao la mbali

BAADHI ya mashabiki wa soka wakiwamo wa Yanga jana walishindwa kuvumilia na kujikuta wakimpa Selemani Rashid ‘Bwenzi’ wa KenGold fedha baada ya kufunga bao safi wakati timu yake ikilala kwenye Uwanja wa KMC Complex. Kiungo huyo alifanya maajabu baada ya kufunga bao la kuvutia kwa shuti kali kutoka katikati ya uwanja wakati wachezaji wa timu…

Read More

Viongozi duniani wamlilia mtukufu Aga Khan IV

Dar es Salaam. Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Mtukufu Aga Khan, anayefahamika kama Karim Al-Hussaini Aga Khan IV, alifariki dunia Februari 4, 2025, jijiji Lisbon, Ureno akiwa amezungukwa na familia…

Read More

Bwenzi: Maji yalimponza Diarra, nikamtungua!

BAADHI ya mashabiki wa soka wakiwamo wa Yanga jana walishindwa kuvumilia na kujikuta wakimpa Selemani Rashid ‘Bwenzi’ wa KenGold fedha baada ya kufunga bao safi wakati timu yake ikilala kwenye Uwanja wa KMC Complex, huku akisema alimshtukia kipa Diarra Djigui akiomba maji akamtungua kwa shuti la mbali kutokea katikati ya uwanja. Kiungo huyo alifanya maajabu…

Read More

Simba, Fountain Gate mambo ni mawili tu!

KUNA mambo mawili yanayotazamwa leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara pale Fountain Gate itakapoikaribisha Simba kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo mkoani Manyara. Jambo la kwanza ni mwanzo wa kocha Robert Matano utakuwaje baada ya mtangulizi wake Mohamed Muya aliyeondoka mwishoni mwa mwaka jana kuonekana kuna sehemu amekwama kwani rekodi zinaonyesha mechi kumi za…

Read More

Mudrik ana viunzi viwili Fountain Gate

MSHAMBULIAJI mpya wa Fountain Gate, Mudrik Abdi Shehe ‘Gonda’ aliyetokea JKU ya visiwani  Zanzibar, licha ya kujivunia kipaji cha kutupia mipira nyavuni, lakini anakabiliwa na viunzi viwili, wakati atakapoanza kukitumikia kikosi hicho kitakachovaana na Simba leo mjini Babati, Manyara. Kiunzi cha kwanza ni cha kuziba pengo la aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Seleman Mwalimu ‘Gomez’,…

Read More

Mabeki wataamua matokeo Fountain Gate vs Simba

Safu za ulinzi za Fountain Gate na Simba zitalazimika kufanya kazi ya ziada wakati timu hizo zitakapokutana leo kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati kuanzia saa 10 jioni. Makali ya kufumania nyavu ambayo safu za ushambuliaji ya kila timu imeonyesha katika mechi zilizopita, ni mtego kwa mabeki na kipa wa kila upande wakati timu hizo…

Read More