M23 walianzisha tena DRC, wauteka mji wa Nyabibwe
Goma. Zikiwa zimepita siku mbili tangu waasi wa Kundi la M23 watangaze kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kile walichotaja ni kuwepo janga la kibinadamu, waasi hao wameibuka na kuuteka mji wa Nyabibwe ulioko Jimbo la Kivu Kusini nchini humo. Waasi wa M23, wanadaiwa kufadhiliwa na…