
MITI MILIONI 686 YAPANDWA NCHINI-NAIBU WAZIRI KHAMIS
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. KhamisHamza Khamis amesema jumla miti milioni 686.24 iliyopandwa katika halmashauri mbalimbali nchini imestawi. Amesema kuwa miti iliyopandwa na kustawi ni sawa na asilimia 82.3 ya miti yote milioni 866.7 iliyopandwa katika kipindi cha mwaka 2020/2021 hadi 023/2024. Mhe.Khamis amesema hayo bungeni jijini Dodoma leo…