
Watu 67 Wauawa Katika Shambulizi Sudan – Global Publishers
Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa, takriban watu 67 wameuawa Jumapili katika shambulizi la mizinga lililofanywa na Vikosi vya RSF huko El Fasher, makao makuu ya Jimbo la Darfur Kaskazini- magharibi mwa Sudan. Taarifa ya ya jeshi la Sudan imeongeza kuwa miongoni mwa waliouawa kwenye shambulio hilo ni wanawake 30, watoto…