
DKT. MWIGULU AZINDUA RASMI YA MODULI YA KUPOKEA RUFAA KIELETRONIKI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) amezindua rasmi matumizi ya Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma kwa njia ya Kieletroniki (NeST). Dkt. Mwigulu amezindua rasmi matumizi ya moduli hiyo Jijini Mwanza wakati wa mafunzo ya moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko na rufaa (Complaint and…