Josiah: Mashujaa tuko nao, Mwakyusa mzuka mwingi

WAKATI Tanzania Prisons ikiendelea kujifua kwa ajili ya mwendelezo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah amesema kikosi chake kipo tayari na Mashujaa wajiandae kisaikolojia kuacha pointi tatu. Prisons inatarajia kushuka uwanjani Februari 6, kuikaribisha Mashujaa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya ukiwa ni wa mzunguko wa pili wa ligi hiyo…

Read More

Salum Chuku ndiyo basi tena

BEKI wa Tabora United, Salum Chuku atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu kuuguza majeraha ya goti aliyoyapata katika duru la kwanza la Ligi Kuu Bara wakati akiichezea timu hiyo dhidi ya maafande wa Tanzania Prisons. Chuku ambaye amefanyiwa upasuaji wa goti amesema hali yake inaendelea vizuri na anaendelea na matibabu kwa matumaini ya…

Read More

Ferooz: Ahoua kaziba pengo la Chama

MSANII wa Bongo Fleva anayejulikana kwa jina la Ferooz ‘Bosi’ humwambii kitu kuhusu mshambuliaji wa Simba, Ahoua Jean Charles aliyekuwa MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast msimu uliopita na amemtabiria kuandika rekodi ya kibabe mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Ferooz amesema ni shabiki wa Simba damu na anavyocheza Ahoua  mwenye mabao saba…

Read More

Ifahamu Sera ya Elimu na Mafunzo

Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2023, ina lengo la jumla la kuhakikisha Taifa linakuwa na mfumo wa elimu na mafunzo unaoweza kumuandaa Mtanzania mwenye maarifa, stadi na mtazamo chanya utakaomwezesha kuchangia katika kuleta maendeleo endelevu. Malengo mahsusi ni pamoja na kuwa na mfumo, muundo na utaratibu nyumbufu wa kumwezesha…

Read More

Wadau waipa Serikali ramani utekelezaji wa sera ya elimu

Hatimaye Serikali imezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023 jijini Dodoma hivi karibuni. Uzinduzi huo unafuatia kukamilika kwa nchakato wa mapitio ya sera hiyo iliyozinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2014. Akizindua sera hiyo mbele ya wadau mbalimbali wa elimu nchini, Rais Samia Suluhu Hassan alitaja mambo kadhaa yaliyoisukuma Serikali…

Read More

WANAOKWEPA KODI KWA KUBADILI MAJINA YA KAMPUNI WADHIBITIWA

Na. Peter Haule, WF. Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ya kampuni za kigeni kwa kuhakikisha Namba ya Utambulisho wa Kodi (TIN) inabaki ile ile hata kama kampuni itabadilisha jina. Hayo ameyasema bungeni jijini Dodoma wakati…

Read More

Upelelezi wakwamisha kesi ya mauaji kiongozi wa CCM

Iringa. Kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Kilolo, Christina Kibiki inayowakabili viongozi watano wa chama hicho imehairishwa kwa mara ya tatu sasa. Kesi hiyo imeahirishwa leo Februari 4, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili wa Serikali, Atupele Makoga kuomba ahirisho katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa…

Read More