
Jentrix atavunja rekodi yake Simba Queens?
KIWANGO kinachoonyeshwa na straika wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa huenda akavunja rekodi yake ya msimu 2022/23 wa kufunga mabao 17. Hadi sasa ndiye kinara wa mabao akiweka nyavuni mabao 16 huku Stumai Abdallah wa JKT Queens akiwa nayo 11. Ndiye mshambuliaji aliyefunga hat-trick nyingi kwenye michezo 11 akifunga tatu huku Stumai akiweka mbili. Ni kama…