
Mtibwa Sugar ni mwendo mdundo
KIKOSI cha Mtibwa Sugar kimeendeleza umwamba baada ya kuichapa Cosmopolitan mabao 3-0 wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Manungu Complex Morogoro, ukiwa ni ushindi wa 14 wa timu hiyo msimu huu katika michezo yake 17, iliyocheza hadi sasa. Akizungumza na Mwanaspoti baada ya mchezo huo, kocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma ‘Maniche’, alisema siri kubwa…