
Ahoua awaweka mezani vigogo Simba
MECHI 23 tu zimetosha kwa Simba kuamini kiungo wake fundi Jean Charles Ahoua ni mali inayotakiwa kulindwa ipasavyo na kuendelea kuvaa jezi ya timu hiyo. Kiungo huyo aliyecheza mechi 15 za Ligi Kuu Bara msimu huu na nane za Kombe la Shirikisho Afrika, amefunga mabao manane kwenye mashindano hayo ndani ya nusu msimu huu pekee….