
Hamas Yatangaza Kuuawa Kwa Makamanda Wao – Global Publishers
Mkuu wa majeshi ya HAMAS, Mohammed Deif HAMAS, wamethitibisha habari ya kuuawa kwa makamanda wake kadhaa katika mashambulizi ya Israel kwenye eneo lililozingirwa kila upande la Ghaza. Makamanda kadhaa wameuawa akiwemo mkuu wake wa majeshi, Mohammed Deif. Mkuu wa Brigedi za al-Qassam, Abu Obeida alithibitisha kuuawa kamanda huyo pia Naibu Kamanda…