Mwalimu aahidi SGR Kanda ya Kaskazini kuinua biashara ndogo, utalii
Moshi. Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi pindi akichaguliwa kuongoza nchi, atahakikisha ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa (SGR) katika Kanda ya Kaskazini, ili kuchochea maendeleo ya biashara ndogo ndogo na kukuza sekta ya utalii katika eneo hilo. Akizungumza jana, Ijumaa, Septemba 5, 2025, katika mkutano wa kampeni…