
‘Bosi’ Alliance aagwa jijini Mwanza, TFF kushughulikia madai ada ya uhamisho wa wachezaji
Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho Jumamosi utasafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwao Nyamwaga, wilayani Tarime, mkoani Mara, Jumapili. Bwire ambaye enzi za uhai wake alikuwa mdau wa michezo nchini kupitia kituo…