
Uamuzi wa Marekani kuhusu ARV, Tanzania ijikomboe hivi…
Dar es Salaam. Licha ya uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya maendeleo nje ya nchi hiyo kuwa tishio kwa upatikanaji wa dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV) bila malipo, wadau wameonesha matumaini ya kuendelea kupatikana kwa dawa hizo. Matumaini ya wadau hao yanatokana na kile walichoeleza, si Marekani…