
Vituo vya afya vya kimkakati kuanza kujengwa kila jimbo
Dodoma. Serikali imesema mwaka 2025, itapeleka Sh250 milioni kwa kila jimbo kwa ajili ya kuanza kujenga vituo vya afya vya kimkakati Tanzania Bara. Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Tawala za Mitaa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba, amesema hayo leo Jumatano, Januari 28, 2025, wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Moshi…