
Tabora United yapewa mwamuzi ‘mtata’ dhidi Simba
Presha ya mchezo wa Tabora United dhidi ya Simba inazidi kupanda mdogondogo na taarifa ya kushtua ni kwamba mchezo huo utaamuliwa na mwamuzi Amina Kyando ambaye hana rekodi nzuri na wenyeji wa mechi hiyo. Kyando ataamua mechi hiyo ya tatu kwenye historia ya Tabora United huku mechi mbili zilizotangulia akikumbana na matukio ya utata yaliyosababisha…