
Madereva waliokwamo Goma wasimulia magumu wanayopitia, wadau, Serikali wanena
Dar es Salaam. Baadhi ya madereva wa magari ya mizigo kutoka Tanzania, wamekwama katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku Chama cha Wafanyakazi wa Malori Tanzania (Chawamata), kikithibitisha kuwa suala hilo linashughulikiwa kwa umakini mkubwa na Ubalozi wa Tanzania nchini humo. Jumapili, Julai 26, 2024, waasi wa kundi la M23 walitangaza…