Adaiwa kujinyonga kisa kuachwa na mpenzi wake

Arusha. Elirehema Mollel (32) mkazi wa Oldadai mkoani Arusha anadaiwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuachwa na mpenzi wake ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Elirehema amekutwa akining’inia juu ya kamba katika nyumba anayoishi. Akizungumza leo Januari 28, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Justine Masejo amesema mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa Mount…

Read More

Rais Samia ataja mikakati kuongeza umeme nchini

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja mikakati minne itakayowezesha kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme barani Afrika ifikapo mwaka 2030. Mikakati hiyo ni kuzalisha umeme kwa nishati mchanganyiko, kuongeza bishara ya umeme Afrika, kusambaza umeme vitongoji vyote Tanzania na kuongeza matumizi ya nishati safi ya kupikia. Amesema hayo leo Jumanne Januari 28,  2025…

Read More

Sh115 trilioni zaahidiwa mkutano wa nishati

Dar es Salaam. Jumla ya Sh115.15 trilioni zimeahidiwa na wadau mbalimbali ikiwamo Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) na Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ajenda 300 ambayo ni lengo kuu la mkutano wa kimataifa wa nishati Afrika. Fedha hizo zinalenga kuanza kuchochea ufikishaji wa umeme kwa Waafrika milioni 300 hadi kufikia…

Read More

Kigogo Chadema atangaza nia urais Zanzibar

Unguja. Licha ya kutangaza dhamira yake ya kugombea urais Zanzibar, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Said Mzee Said amesema bado msimamo wa chama hicho upo palepale bila ya kuwepo kwa mabadiliko ya sheria na mifumo hakutakuwa na uchaguzi wa Tanzania. Said anatangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kuvaana na…

Read More

Mbunge CCM ahoji utekaji bungeni, Spika Tulia ampa utaratibu

Dodoma. Mbunge wa Iringa Mjini (CCM), Jesca Msambatavangu ameihoji Serikali imejipangaje kudhibiti wizi wa binadamu maarufu utekaji. Swali hilo limekuja wakati ambao kuna matukio ya utekaji yaliyotokea mwaka 2023 na 2024 huku baadhi ya wanasiasa na wafanyabiashara wakidaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Matukio hayo yaliyotikisa ni mauaji ya kada wa mjumbe wa sekretarieti ya Chama…

Read More

Morocco achora ramani ya kutoboa kundi C Afcon

WAKATI Watanzania wakiendelea kulipigia hesabu ndefu kundi la Taifa Stars katika michuano ya AFCON 2025, kaimu kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Seleman ‘Morocco’ ametoa mtazamo wake na namna watakavyokiandaa kikosi kwenda kushindana na sio kushiriki pekee. Katika michuano hiyo itakayoanza Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 nchini Morocco, Taifa Stars imepangwa kundi C…

Read More