Mpango wa Jiko la jua unakusudia kupanua ufikiaji wa nishati safi nchini Angola – maswala ya ulimwengu

Maoni na Judite Toloko da Silva, Heila Monteiro (Luanda, Angola) Jumanne, Januari 28, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Luanda, Angola, Jan 28 (IPS) – Upataji wa nishati ni muhimu kwa maendeleo endelevu, lakini kwa jamii nyingi za vijijini, bado haijafikiwa. Nchini Angola, kulingana na sensa ya kilimo ya 2019-2020, vijiji vingi vya vijijini ukosefu…

Read More

TANESCO Yatoa Elimu Kuhusu Nishati Safi na Miradi ya Umeme Katika Mkutano wa Nishati wa Afrika

Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, linashiriki katika Maonesho kando ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi wa Afrika (African Energy Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). Mkutano huo umeanza leo Januari 27, 2025 unawakutanisha Wakuu wa Nchi Barani Afrika kujadili mikakati ya upatikanaji wa nishati ambapo lengo kuu ni kuwafikishia…

Read More

Sababu M23 kuendelea kuteka miji DRC

Goma. Kundi la waasi wa M23 wanaotajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda wanadaiwa kuuteka Mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya mapigano yaliyodumu kwa wiki kadhaa dhidi ya vikosi vya jeshi la nchi hiyo (FARDC). Kwa mujibu wa tovuti ya The Guardian, eneo lililotawaliwa na mapigano hayo lenye majimbo ya…

Read More

SAMIA WOMEN BOXING CHAMPIONSHIP 2025 KUANZA IJUMAA

▫️Ni mashindano mapya, yatatumika kuchagua wachezaji kujiunga na Timu ya Taifa ya wanawake kujiandaa na Ubingwa wa Dunia nchini Serbia. ▫️Mastaa wa Ngumi za kulipwa kushiriki ▫️Semina za kuwawezesha, kuwajengea maarifa ya maisha na Ujasiliamali kutolewa kwa washiriki wote 28-01-2025, Cape Town – Afrika ya Kusini MAADHIMISHO mapya ya ngumi ya Wanawake ya Samia “SAMIA…

Read More