Guterres inatutaka tusamehe maendeleo na fedha za kibinadamu kutoka kwa misaada 'pause' – maswala ya ulimwengu

Agizo la mtendaji wa Rais Trump wiki iliyopita alitaka misaada yote ya kigeni kutathminiwa upya ili kuhakikisha kuwa inazingatia vipaumbele vyake vipya vya sera za kigeni. Wigo wa haraka wa agizo hilo haukuwa wazi lakini mnamo Ijumaa, kulingana na ripoti za habari, Katibu wa Jimbo la Merika Marco Rubio alitoa agizo la kuweka fedha yoyote…

Read More

Kinachoendelea sasa viongozi, marais wakiwasili

Dar es Salaam. Marais wa nchi 19 na wakuu wa Serikali kadhaa tayari wamewasili nchini, kwa ajili ya mkutano wa nishati barani Afrika unaohitimisha leo jijini hapa. Nchi ambazo marais wake tayari wamewasili Dar es Salaam kwa ajili ya mkutano huo ni Madagascar, Lesotho, Visiwa vya Comoro, Guinea Bissau, Botswana, Malawi, Burundi, Mauritania, Ghana, Ethiopia, Jamhuri…

Read More

Tuweke nguvu hii hapa Kiswahili kwa wageni

Ufundishaji na ujifunzaji wa lugha wa kigeni ni mchakato rasmi na wa makusudi wa kujifunza lugha isiyo ya mjifunzaji. Hii ni lugha ambayo huzungumzwa na jamii iliyo nje ya mazingira ya mjifunzaji wa lugha hiyo. Mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji wa lugha ya kigeni, unafanyika katika eneo rasmi elekezi kwa kuhusisha hali ya ung’amuzi tambuzi….

Read More

Ikanga Speed aibua presha mpya Yanga

KUNA wachezaji watatu ndani ya kikosi cha Yanga walioibua presha mpya inayoweza kubadilisha upepo ndani ya timu hiyo siku chache zijazo wakati Ligi Kuu Bara itakaporejea. Wachezaji hao watatu ni winga mpya, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’, beki wa Israel Mwenda na kiungo mshambuliaji Maxi Mpia Nzengeli, ambao wameibua presha kwa nyota waliokuwa wakitumika katika nafasi…

Read More

Dabi ya Cecafa kuhamia Morocco Afcon 2025

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa Kundi C katika michuano ya Afcon 2025 itakayofanyika nchini Morocco ikishirikisha timu 24. Katika droo hiyo iliyochezeshwa leo Jumatatu Januari 27, 2025 nchini Morocco, Taifa Stars imepangwa na timu za Nigeria, Tunisia na Uganda. Hii itakuwa mara ya nne kwa Stars kushiriki Afcon baada ya kufanya hivyo…

Read More

Yanga, Aziz KI kuna jambo, wakala afunguka

MABOSI wa klabu ya Yanga, inadaiwa wameanza hesabu mapema za kutafuta mrithi wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephaine Aziz KI anayetajwa huenda akaondoka mwishoni mwa msimu huu wa 2024/25 baada ya kuitumikia timu hiyo ya Wananchi kwa misimu mitatu yenye mafanikio. Kwa mujibu wa taarifa zilizotua mezani mwa Mwanaspoti, inaelezwa mwanzoni mwa msimu huu,…

Read More

Ahoua, Ateba kuna siri! Mpanzu naye atajwa Simba SC

MWANZONI mwa msimu huu, hakuna shabiki yeyote wa Simba aliyekuwa na imani na timu hiyo kufanya maajabu katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa, lakini ghafla nyota wapya 13 akiwamo Jean Charles Ahoua na Leonel Ateba wame-badilisha upepo na mtu aliyehusika kuwaleta amefichua siri ya nyota hao. Simba iliyokosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara…

Read More

Uchunguzi wa Haki unaonyesha kuteswa kwa kimfumo na kuwekwa kizuizini kwa serikali ya Assad – maswala ya ulimwengu

Matokeo kutoka kwa Tume ya Kimataifa ya Uchunguzi juu ya uhalifu wa kina wa Syria dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita ambao uliacha urithi wa kiwewe kwa Wasiria wengi, wakiwakilisha ukiukwaji mbaya zaidi wa sheria za kimataifa zilizofanywa wakati wa zaidi ya muongo mmoja wa mzozo wa kikatili. “Tunasimama kwenye mkutano muhimu. Serikali ya…

Read More