
JAFO AAGIZA RUWASA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI BWAMA
Na Khadija Kalili Michuzi TV WAZIRIwa Viwanda Dkt Selemani Jafo ametoa agizo kwa Mamlaka ya Maji Vijijini Ruwasa kuchimba Kisima kirefu Kata ya Bwama iliyopo Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani. Mhe.Dkt.Jafo ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ametoa agizo hilo alipofika Bwama kwenye hafla ya kuzindua Zahanati ya Bwama ambayo imekamilika na ameizindua Januari 24 na…