Amani ya Kudumu Kati ya Waisraeli na Wapalestina – Masuala ya Ulimwenguni

Ingawa kumbukumbu za siku za nyuma haziwezi kusahaulika wala kutupiliwa mbali, msisitizo leo unahitaji kuwekwa kithabiti katika kupatikana kwa amani ya kudumu kati ya Waisraeli na Wapalestina. Credit: UNRWA Maoni na Joseph Chamie, Sergio DellaPergola (portland, usa/jerusalem) Jumatatu, Januari 27, 2025 Inter Press Service PORTLAND, MAREKANI/JERUSALEM, Jan 27 (IPS) – Kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano…

Read More

Radi yaua wanafunzi saba, yajeruhi 82 wakiwa darasani Geita

Geita. Wanafunzi saba wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Businda, iliyopo wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita, wamefariki dunia na wengine 82 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa darasani. Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili, akizungumza na Mwananchi, amesema tukio hilo limetokea leo Jumatatu, Januari 27, 2025, akieleza kuwa miongoni mwa majeruhi…

Read More

Dk Rugazia: Eneo la jinai linawasumbua wananchi

Na Mwandishi Wetu WAKILI wa Kujitegemea Dk Aloys Rugazia amesema eneo la jinai la kubambikiwa kesi ni eneo ambalo linasumbua watu wengi katika jamii, wananchi wamekuwa wakilalamika kwamba hiyo ni changamoto wanayokutana nayo katika maisha yao. Dk Rugazia amesema hayo leo katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibasila iliyopo jijini Dar es Salaam wakati wa…

Read More

M23 Waukamata Mji Wa Goma – Global Publishers

Last updated Jan 27, 2025 Waasi wa M23 wanaelezwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza kuwa wameukamata mji mkubwa wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapema leo Jumatatu. Taarifa hiyo ilitolewa dakika chache kabla ya muda wa saa 48 zilizotolewa na jeshi la Kongo kusalimisha silaha kumalizika. Waasi…

Read More

Wananchi walivyopita kwa miguu juu ya Ziwa Victoria

Mwanza. Shangwe imeibuka baada ya abiria waliokuwa wakisubiri kuvuka eneo la Kigongo wilayani Misungwi kwenda Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza kuruhusiwa kupita kwa miguu juu ya Ziwa Victoria kupitia daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi anayejenga daraja la JPM. Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Januari 27, 2025, Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa…

Read More