
Morrison, Yondani wampa mzuka kipa KenGold
KIKOSI cha KenGold kinaendelea kujifua kabla ya kuanza ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara, huku kipa namba moja wa timu hiyo, Castor Mhagama akisema ujio wa wachezaji wapya waliosajiliwa dirisha dogo akiwamo Bernard Morrison ‘BM’ , Kelvin Yondani na wengine umeongeza mzuka kikosini. Mhagama alisema ujio wa wachezaji hao utasaidia kuinusuru timu hiyo,…