
Hamadi: Kuna cha kujifunza kwa Bocco, Nyoni
KOCHA wa JKT Tanzania, Hamad Ally amesema kuna kitu cha kujifunza kwa wachezaji chipukizi kupitia wakongwe John Bocco anayekipiga JKT, Erasto Nyoni (Namungo) na Kelvin Yondani (KenGold) namna ya kulinda vipaji kwa kucheza muda mrefu. Wakongwe hao wana zaidi ya miaka 15 wakikiwasha Ligi Kuu Bara wakibebwa na namba wakiwaacha mbali wachezaji vijana wanaoibuka na…