
DC KUBECHA AUPONGEZA UONGOZI WA NCAA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI KATIKA MAPANGO YA AMBONI
Na Oscar Assenga,TANGA MKUU wa wilaya ya Tanga Japhari Kubecha ameupongeza uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) kwa juhudi za kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango hayo huku akitoa rai kwa wananchi ndani na nje ya Mkoa wa Tanga kujenga utamaduni wa kutembelea vivutio vilivyopo ndani ya nchi. Kubecha aliyasema hayo…