
WFP yaahidi kuendelea kukuza ushirikiano na Kampuni ya Meli Tanzania
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (World Food Programme -WFP) limesema litaendeleza ushirikiano na Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) katika eneo la usafirisaji wa shehena ya vyakula kutoka Bandari ya Dar es Salaam na Mwanza mpaka Sudan Kusini. Wawakilishi wa WFP kutoka makao makuu yaliyopo Roma, Italia wametembelea makao makuu ya…