
Mbwembwe za Rais wa Bukina Faso kuwa kivutio Tanzania
Dar es Salaam. Rais wa mpito wa Bukina Faso, Kapteni Ibrahim Traore ambaye amekuwa kivutio kwa utaratibu wake wa kuvaa kombati za jeshi pamoja na kutembea na bastola kiunoni tofauti na marais wengine, ni miongoni mwa marais 25, watakaohudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu nishati Afrika. Kapteni Traore mwenye umri mdogo wa miaka 34 kuliko marais…