
Wasomi watakiwa kutafiti usafirishaji haramu wa binadamu
Dar es Salaam. Wanafunzi wa vyuo vikuu wametakiwa kufanya utafiti na kuandika maandiko ya kisomi, kuhusu usafirishaji haramu wa binadamu ili kuibua na kupaza sauti dhidi ya ukatili huo. Mkurugenzi wa Program wa Mtandao wa Kitaifa wa Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Jones John amesema hayo leo Januari 25, 2025 wakati alipokuwa wakitoa elimu …