
WATALII MILIONI 1. 8 WAMETEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA NCHINI MWAKA 2023/24
Na Janeth Raphael MichuziTv – Morogoro Sekta ya utalii nchini imeelezwa kuchangia ongezeko kubwa la idadi ya watalii, sambamba na ongezeko la uwekezaji na mapato yatokanayo na utalii, ambapo kumekuwa na ongezeko la safari za ndege za moja kwa moja kutoka maeneo mbalimbali ya dunia kuja Tanzania kupitia mashirika makubwa ya ndege Duniani. Katibu Mkuu…