
Ikanga Speed aachiwa Copco | Mwanaspoti
KIKOSI cha Yanga leo Jumamosi kinaanza rasmi harakati za kutetea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la TFF wakati kitakapoikaribisha Copco ya Mwanza kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, huku wachezaji wapya, Jonathan Ikangalombo na Israel Mwenda wakisubiriwa kuliamsha. Ikangalombo maarufu kama Ikanga Speed na Mwenda wamesajiliwa na Yanga kupitia dirisha dogo…