
Bashe atamani kilimo kiheshimiwe kama Mwenge
Dodoma. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema endapo kilimo kingeheshimika kama ilivyo kwa Mwenge wa Uhuru, umasikini Tanzania ungeondoka. Mbali na hilo, ameeleza kusikitishwa kwa Kituo cha Mafunzo kwa Wakulima mkoani Iringa (Ward resource center) kugeuzwa nyumba ya kulala wageni. Bashe ameyasema hayo leo Ijumaa, Januari 25, 2025 wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano…