
NAIBU WAZIRI WA FEDHA AZINDUA BAHATI NASIBU YA TAIFA,ASEMA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA MICHEZO YA KUBAHATISHA TANZANIA
Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania imepiga hatua kubwa baada ya uzinduzi rasmi wa Bahati Nasibu ya Taifa Tanzania iliyopata baraka kutoka zote kutoka kwa Mhe. Hamad Chande, Naibu Waziri wa Fedha. Mpango huu, unaosimamiwa na ITHUBA, Kampuni inayoongoza barani Afrika katika kuendesha michezo ya Bahati Nasibu, unalenga kuleta mapinduzi katika sekta hiyo, kuchochea…