
Phiri aipeleka Simba nusu fainali
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba anayekipiha kwa sasa Power Dynamos ya Zambia amekiangalia kikosi cha sasa wa Wekundu hao chini ya kocha Fadlu Davids na kusema anaiona kabisa ikifika mbali katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, iwapo itaamua kukaza buti. Raia huyo wa Zambia aliyeichezea Simba kwa misimu miwili kabla ya kuondoka dirisha dogo…