
RIPOTI MAALUMU: Nyuma ya pazia anguko la viwanda Tanga
Kijana Bakari Rajabu (siyo jina halisi), mkazi wa Majengo jijini Tanga, anaishi maisha ya shida. Mahabusu na jela zimekuwa kama nyumbani kwake. Lakini, kwa maneno yake mwenyewe, hakupenda maisha haya. “Nimelazimika kuingia katika uhalifu ili niishi. Ninaishia jela au mahabusu. Lakini watu hawaelewi. Mimi sipendi kuwa hivi,” anasema Hata hivyo, Bakari, ambaye ndoto zake baada…