
BODI YA NAMAPWIA AMCOS YAVUNJWA VIONGOZI WAKAMATWA NA POLISI
Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo akitoa amri ya kukamatwa kwa viongozi wa AMCOS ya Namapwia kwa tuhuma za ubadhirifu wa mali za AMCOS hiyo.Baadhi viongozi wa AMCOS ya Namapwia waliokamatwa Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Nachingwea iliyokabidhiwa viongozi wa AMCOS ya Namapwia kwa ajili ya uchaguzi wa tuhuma za…