
Messi wa Tanga aja kivingine Namungo
NYOTA mpya wa Namungo, Issa Abushehe ‘Messi’, amesema kitendo cha kujiunga na kikosi hicho anaamini itakuwa njia nzuri kwake ya kumrejesha katika ubora wake, huku akiweka wazi sababu kubwa za kuamini hivyo ni uwepo wa kocha, Juma Mgunda. Winga huyo amejiunga na kikosi hicho cha ‘Wauaji wa Kusini’, baada ya kuvunja mkataba wake wa miezi…