
KARATU YAFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA
Na. Saidina Msangi, WF, Karatu, Arusha Wananchi wa Wilaya ya Karatu jijini Arusha, wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatumia Taasisi za fedha zilizosajiliwa ambazo zinazingatia sheria, kanuni na taratibu katika huduma za fedha ili kujiepesha na watoa huduma za fedha wasio sajiliwa. Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu Mhe. Dadi H. Kolimba, alipokutana na…