Shindano la Expanse Tournament ni hatari Januari hii

FUNGUA mwaka kibabe na Meridianbet kupitia shindano kubwa la kibabe la michuano ya Expanse Kasino ambapo utaweza kujishindia kitita cha kutosha kupitia shindano hili ambalo litahusisha michezo ya kasino ambayo itadumu kwa siku kumi. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja…

Read More

Bodi ya Korosho kutumia BBT kufikia malengo

Lindi. Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeendesha mafunzo kwa vijana na maofisa kilimo 150 kutoka Mkoa wa Lindi kupitia programu ya “Jenga Kesho Ilio Bora” (BBT), lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji wa korosho nchini ili kufikia malengo ya Serikali ya kuzalisha tani milioni moja ifikapo mwaka 2030. Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Januari 13, 2025,…

Read More

BSL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI ZINGA

Afisa Utawala Kiwanda Cha Bagamoyo Sugar Limited Ibrahim Juma Mohammed  akimkabidhi  Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Shaibu Ndemanga  (kulia) vikoti vya kuakisi mwanga 80 ambavyo vitatumiwa na Jeshi la Polisi Barabarani katika Kata ya Zinga makabidhiano hayo yamefanyika  leo  tarehe 13,Januari 2025. Wanafunzi wa Shule mbalimbali  zilizopo Kata ya Zinga wakimsikiliza kwa makini Sgt.Otilia Ponera…

Read More

Chato kunufaika na mazao ya misitu miaka 10 ijayo

Mufindi. Wananchi wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita, wametakiwa kujiandaa kufurahia matokeo ya mazao ya misitu kupitia shamba la miti la Silayo lililopo wilayani humo, huku Serikali ikilenga kuimarisha uchumi wa eneo hilo. Akizungumza leo Jumatatu, Januari 13, 2025, baada ya ziara ya mafunzo katika Shamba la Miti la Sao Hill, Wilaya ya Mufindi,…

Read More

Waziri Ulega atoa maagizo ERB

Morogoro. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) nchini kuweka mfumo madhubuti wa ufuatiliaji wa shughuli mbalimbali za kiuhandisi, hasa katika miradi ya maendeleo, ili kuhakikisha ufanisi katika utekelezaji wa kazi zao. Akifungua baraza la wafanyakazi wa bodi hiyo, lililokutana mkoani Morogoro kujadili masuala mbalimbali, Ulega ameeleza kuwa wahandisi ni…

Read More

Shule zafunguliwa kwa muitikio mkubwa, wanaume wanyoshewa kidole

Dar/Mikoani. Wakati shule za msingi na sekondari nchini zikifunguliwa kwa muitikio mkubwa, baadhi ya wazazi na walezi wameeleza changamoto za kiuchumi zinazoathiri ununuzi wa vifaa vya shule, huku kina baba wakihimizwa kushirikiana kikamilifu na watoto wao hususan wanaoanza masomo kwa mara ya kwanza. Hali hii inatokana na idadi kubwa ya wanafunzi walioandikishwa kwenye shule mbalimbali…

Read More

Maria Sarungi asimulia namna alivyotekwa Kenya

Nairobi.  Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi amedai  kuwa, watu wanne walimteka jana eneo la Kilimani jijini Nairobi, Kenya. Taarifa za madai ya kutekwa kwa Maria zilianza kusambaa jana jioni kwenye mitandao ya kijamii, baada ya Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International, kuchapisha taarifa kuhusu tukio hilo kwenye ukurasa wake…

Read More

Matumaini & Kukata Tamaa – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Anis Chowdhury (Sydney) Jumatatu, Januari 13, 2025 Inter Press Service SYDNEY, Jan 13 (IPS) – Tunamshukuru Mungu, tumenusurika mwaka mwingine wa mauaji ya halaiki, vita, uharibifu na mgogoro wa hali ya hewa. Mwaka unaopita wa 2024 umekuwa mchanganyiko wa matumaini na kukata tamaa. Ilianza kwa matumaini huku Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)…

Read More