
Mmiliki Afunguka Kwa nini Nyumba Yake Haikuungua – Global Publishers
Siku chache zilizopita, habari kuhusu nyumba pekee iliyonusurika na moto katika Ufukwe wa Malibu, Los Angeles nchini Marekani, ilizua gumzo duniani kote, kila mtu akiongea lake. Mmiliki wa nyumba hiyo yenye thamani ya dola milioni 9 za Kimarekani (sawa na takribani shilingi bilioni 22.5 za Kibongo), David Steiner ameeleza sababu za nyumba yake kusalimika. Bilionea…