
ZEEA na mipango ya kutengeneza mabilionea Zanzibar
Tukisherehekea miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA), ukiwa na miaka miwili tangu kuanzishwa kwake, umefanya mambo makubwa ya kupigiwa mfano kuwatoa wajasiriamali sehemu moja kwenda nyingine. ZEEA ni taasisi ya Serikali ambayo ilianzishwa kwa mujibu wa sheria mwaka 2022, ikiwa na lengo la kuwawezesha wananchi kiuchumi kupitia…