
Clara Luvanga anang’ara tu Saudia
NYOTA wa kimataifa wa soka la wanawake, Clara Luvanga amezidi kutakata baada ya wikiendi iliyopita kutupia mabao mawili yaliyoisaidia timu ya Al Nassr kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Qadsiah, huku mtandao wa klabu hiyo ukimpaisha kwa kusema ‘hakuna wa kumzuia kutupia’. Al Nassr ilipata ushindi huo ikiwa uwanja wa nyumbani wa Al…