
Madenge aja kivingine Biashara United
KOCHA wa Biashara United, Omary Madenge amesema kwa sasa kikosi hicho kinapigania kubaki katika Ligi ya Championship kwa msimu ujao, baada ya malengo yao ya kukipandisha Ligi Kuu Bara kukwama kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza. Kauli ya kocha huyo inajiri baada ya timu hiyo kupokwa pointi 15, kutokana na kuandamwa na ukata ulioifanya kushindwa kusafiri…