Wagombea uongozi wa kitaifa Chadema wafika kusailiwa

Dar es Salaam. Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang’anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne Januari 21, 2025. Usaili wa wagombea hao, unafanyika yalipo Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam na tayari wagombea mbalimbali wameanza kuwasili. Wagombea…

Read More

HUYU NDIYE STEPHEN WASIRA MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI

*Atangazwa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Kinana,shangwe lalipuka kwa wana CCM Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Dodoma CHAMA Cha Mapunduzi(CCM) kimepitisha jina la Stephen Wasira kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho akiziba nafasi iliyoachwa wazi na Abdulrhaman Kinana aliyejiuzulu nafasi hiyo Julai mwaka 2024. Jina la Wasira ambaye mwanasiasa mkongwe nchini limetangazwa leo Januari 18 mwaka 2025…

Read More

PINDA,KINANA WATIA NENO KWA WASIRA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Dodoma WAZIRI Mkuu mstaafu Mizengo Pinda pamoja na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrahman Kinana wamemzungumzia Stephen Wasira ambaye amepitishwa na Chama hicho kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kupigiwa kura ya ndiyo 1910 na wajumbe wa mkutano mkuu maalum. Akimzungumzia Wasira,Waziri Mkuu Mstaafu Pinda amesema ni kiongozi mwenye uzoefu wa kutosha…

Read More

Njia 10 za kumuadabisha mtoto

Katika kila jambo unalofanya kwa watoto wako, iwe ni kwa maneno au vitendo, elewa kwamba lengo kuu ni kuwafundisha na kuwasaidia kuelewa. Iwe unawasaidia, unawakanya, unawaelewesha au unafanya jambo jingine lolote, mwishowe wanapaswa kujifunza jambo muhimu. Ukifanya jambo na mtoto wako na asipate funzo lolote, akatoka akiwa hajapata chochote, iwe amecheka au amenuna, basi kama…

Read More

Epuka kuhukumu kabla ya kujihukumu katika ndoa

Tutaanza na kisa tulichoshuhudia kwa ndugu yetu mmoja. Huyu bwana kuna kipindi aliachishwa kazi. Hivyo, alianza kuamka kila asubuhi akielekea mjini kusaka vibarua ili mkono uende kinywani. Ulipita muda bila kuwa na namna ya kujiingizia kipato. Alifanikiwa kumtafutia mkewe kibarua kwa ndugu yake. Mama alifurahi kupata kibarua na kuingiza lau kipato. Hata hivyo, yule mama…

Read More

ANTI BETTY: Naomba mbinu nimpange mume wa mtu anioe

Swali: Mume wa mtu ananihudumia na kunijali mpaka natamani awe mume wangu. Huu mwaka wa tatu nipo naye, naomba mbinu ili afikirie kunioa, kwani pamoja na kunijali hajawahi hata siku moja kuzungumzia kufunga ndoa na mimi. Ndiyo najua ameoa, tena kanisani, ila angalau angenitania nijue kuwa ipo siku tunaweza kufanya maarifa ya kuoana. Hakika ninampenda…

Read More