
Wasira aanza kazi na mambo mawili
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho kwa kumchagua, huku akisema anaianza kazi hiyo kwa kuhakikisha chama kinaendelea kushinda katika uchaguzi na kushika dola. Pia, amesema atahakikisha anasimamia umoja, amani na maendeleo. Wasira amesema hayo leo Januari 18, 2025 katika Mkutano…