
Maswa yapitisha bajeti Sh47.2 bilioni
Maswa. Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, limepitisha Sh47.2 bilioni kama rasimu ya bajeti ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2025/26. Hayo yamebainika leo Jumamosi Januari 18, 2025katika kikao hicho cha bajeti kilichofanyika Maswa. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Simon Maige ametoa wito kwa madiwani kusimamia vizuri miradi inayoendelea kutekelezwa katika…