
Kauli ya Polisi kifo cha mwanahabari
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema Charles Mwita, ambaye kitaaluma ni mwandishi wa habari aliuawa kwa kushambuliwa na watu ambao walitokomea baada ya kutenda tukio hilo katika eneo la Nyamisangora, Kaunti ya Migori nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana Januari 17, 2025 na Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, tukio…